Kama wewe ni mwanamuziki wa Injili au Qaswida na ungependa kuutangaza muziki wako ufike mbali kitaifa na kimataifa, unakaribishwa kwenye tovuti yetu hii kuutangaza muziki wako kwa bei poa kabisa sawa na buree!..
Gharama zetu ni nafuu sana, huwezi kuzikuta mahala popote, kufahamu gharama zetu wasiliana nasi kwa namba ya Telegram au whatsapp iliyopo hapo chini.
Tunautangaza muziki wa injili au kaswida kwa bei ndogo sana, lakini kwa upande wetu tunaweka nguvu na jitihada kubwa sana ili kuwezesha neno la MUNGU na injili ya Bwana wetu YESU KRISTO ifike mbali kitaifa na kimataifa kupitia nyimbo.
Taratibu za kutuma nyimbo zako za audio au video ni kama ifuatavyo;
a) Audio
1. Tuma nyimbo yako ya audio kupitia namba ya Telegram ifuatayo;
2. Tuma audio cover yako yenye taarifa zote muhimu kama ifuatavyo;
a) Majina yako kamili (Jina la usanii)
b) Jina la wimbo
c) Jina la Producer na studio yake
d) Namba yako ya simu
e) Akaunti zako za mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter, Youtube n.k
3. Baada ya hapo nyimbo yako tutaiweka kwenye tovuti yetu
b) Video
1. Tuma linki yako ya video uliyoiweka youtube
2. Tuma majina yako kamili (Jina la usanii) pamoja na jina la wimbo
3. Baada ya hapo video yako tutaiweka kwenye tovuti yetu
Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba ya whatsapp ifuatayo;
+255763 657145
+255763 657145
MUHIMU:
Wakati wa kutuma nyimbo yako tumia namba ya Telegram pekee, usitume kwenye namba ya whatsapp.
إرسال تعليق